TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Inter-territorial Language (Swahili) committee

The Typologically Different Question Answering Dataset

Iliundwa mwaka 1930 kama kamati yenye shabaha ya kuunda na kuendeleza Kiswahili sanifu katika maeneo ya Afrika ya Mashariki yaliyokuwa chini ya ukoloni wa Uingereza yaani  Kenya, Tanganyika, Zanzibar na Uganda. Kati ya maeneo haya Kenya ilikuwa koloni, Uganda na Zanzibar zilikuwa nchi lindwa na Tanganyika ilikuwa eneo la kukabidhiwa chini ya uangalizi wa Shirikisho la Mataifa. Hivyo Waingereza walizoea kuyataja kwa jumla kama "East African dependencies" au "East African territories" yaani maeneo ya Afrika ya Mashariki.

Inter-territorial Language ilianzishwa lini?

  • Ground Truth Answers: 193019301930

  • Prediction: